Tunakupa unachohitaji sasa na baadae

Propellerads
  • WELCOME TO Adonisstunner Blog FOR UPDATED NEWS AND ENTERTAINMENTS

    Search

    Jumatatu, 3 Oktoba 2016

    MSHANGAO:NYIMBO YA KANYEWEST YA MASTAA WAKIWA UCHI YAINGIA KWENYE TUZO ZA MTVEMA..

    Kanye west msanii toka maandishi matatu USA, miezi mitatu iliyopita iliachia ngoma yake iendayo kwa jina la "Famous" akiwa amemshirikisha msanii Rihanna ambayo video yake ilitoka ikionyesha sanamu za nta "wax" za watu maarufu mbalimbali wakiwa uchi wa mnyama. 

    Video hiyo iliyotelewa ikionyesha sanamu za watu kama Rais wa zamani wa marekani George W bush, Mgombea Urais wa marekani kwa  sasa Donald Trump,  Msanii Taylor swift, Mwanamitindo Kim kardashian na wengine wengi wakiwa uchi  imechaguliwa kushindania Tuzo za Mtvema kama moja ya video bora za mwaka link hii hapa chini....

    Kanye West Famous-Best video mtvema,
    Swali ni je anastahili heshima ya tuzo hii,,,,, 

    Ione video ya Kanyewest-Famous hapa chini 👇👇




    Hakuna maoni:

    Chapisha Maoni

    Search

    Chapisho Lililoangaziwa

    NEW HIT:OMMY DIMPOZ FT ALIKIBA-KAJIANDAE

    Toa Maoni yako

    Jina

    Barua pepe *

    Ujumbe *

    Wanaofuata

    Propellerads