Huu ndio muonekano wa ndege ya pili ya Air Tanzania tayari kwa kuja nyumbani Tanzania.Ndege hii iliyopewa Reg # ya C-FHNF aina ya Dash8-Q400 ipo katika maandalizi ya mwisho mwisho kuweza kuletwa Tanzania.Ndege hizi mbili,mpya,mali ya ATCL zinategemewa kufika Tanzania kati ya September 15 na Sepetember 19 2016.
Source.Jamiiforum
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni