Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema , hapa gereza keko kuna askari kampiga risasi askari mwenzake na kupelekea kifo cha askari huyo ! Inasemekana ni askari wa depo mpya wa KM !
Inasemekana walikua lindo na mmoja alikua anasafisha Smg yake eneo la tukio hapo gereza keko na kwa bahati mbaya risasi ilifyatuka na kupata mwenzake kifuani na kutokea bega la kushoto na kupelekea kifo Alie faliki anafahamika kwa Jina la Mmsai
Marehemu enzi za uhai wake.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni