TCU imemaliza udahili kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwa awamu ya kwanza jumla ya waombaji walikuwa 55,347 waombaji wenye sifa walikuwa 47,203 katika waombaji wenye sifa waliopata nafasi ni 30,731 sawa na asilimia 65,
Video kwa udhamini wa Ayo Tv,,,,,,,
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni