Search
Jumapili, 4 Septemba 2016
Matukio
Kijana mmoja nchini Uganda aliyefahamika kwa jina Mustafa kalule amenusurika kifo baada ya kujitupa toka ghorafani jengo mmoja maarufu Kampala Uganda kwa jina Mabirizi Complex ,,afisa usalama mmoja alisema chanzo cha kijana huyo kujirusha hakijajulikana ila sio kwa mara ya kwanza tukio kama hilo kutokea kwenye Jengo hilo ambapo mwaka 2014 kijana mmoja alijitupa na kufariki na kuacha ujumbe kwamba amejiua kutokana na kutumia pesa nyingi kumsomesha mpenzi wake mwisho wa siku akamkata...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni