Tunakupa unachohitaji sasa na baadae

Propellerads
  • WELCOME TO Adonisstunner Blog FOR UPDATED NEWS AND ENTERTAINMENTS

    Search

    Alhamisi, 27 Oktoba 2016

    HAKIMU AMSHAURI MWIZI AMUIGE 50 CENT

    Hakimu mmoja nchini Australia amemtaka kijana mmoja kumuiga mwanamuziki 50 Cent ili kuepuka maisha ya uhalifu.
    Hakimu Deen Potter alitoa matamshi hayo wakati alipokuwa akimhukumu kijana huyo mwenye umri wa miaka 16 kutokana na shtaka la wizi.
    ''Kama wewe alikuja hapa kutokana na hali ya kutisha na yenye kiwewe'',alisema hakimu,''lakini sasa ameweza kuepuka''.
    Nyota huyo wa mziki wa Hip Hop kwa jina Curtis Jackson anayezingirwa na utata aliipata umaarufu baada ya kuwa jkatika maisha ya uhalifu ,dawa za kulevya na ghasia.
    Kijana huyo alikuwa anakabiliwa na mashataka 49 baada ya kuiba mali yenmye zaidi ya thamnai ya dola 7,000.
    ''Katika kipindi cha miaka 10 ijayo nataka kukuangalia na kuona mafanikio yako''.

    Hakuna maoni:

    Chapisha Maoni

    Search

    Chapisho Lililoangaziwa

    NEW HIT:OMMY DIMPOZ FT ALIKIBA-KAJIANDAE

    Toa Maoni yako

    Jina

    Barua pepe *

    Ujumbe *

    Wanaofuata

    Propellerads