Serikali kupitia Waziri wa Katiba na Sheria Dk.Harrison Mwakyembe, imesema itafungia taasisi zipatazo kumi na moja zinazo sapoti mapenzi ya jinsia moja (homosexual)
Waziri mwakyembe amesema serikali ya awamu ya tano haiwezi kukaa kimya na kuona sheria zinavunjwa bila kuchukua maamuzi stahiki,,
Taasisi hizo ambazo zipo mikoa ya Dar es salaam, Arusha, Shinyanga, Tabora, Dodoma,Kilimanjaro,Njombe,Lindi na Morogoro.
Pia alipinga vikali madai ya serikali ya Marekani kuwa mashoga na wasagaji wananyimwa haki na wananyanyaswa na serikali ya Tanzania." Tanzania ina sheria zake na kamwe hatuwezi kukubali watu kuunga mkono ushoga na usagaji kama kigezo cha kupata msaada"
Search
Jumatano, 12 Oktoba 2016
Habari
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni