Hii imetokea nchini kenya mwanafunzi mmoja ambae jina lake halikufahamika mapema aliuwawa siku mbili zilizopita nchini humo kwa kisingizio cha ajali ya gari lakini mazingira hayaoneshi kama ni ajali lakini ni tukio lililotokea kwa kupangwa
Picha zinatisha kidogo ila ndo tukio lenyewe lilivotokea
Samahani kwa picha hizi👇👇👇👇
Search
Jumapili, 9 Oktoba 2016
Habari
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni