Tunakupa unachohitaji sasa na baadae

Propellerads
  • WELCOME TO Adonisstunner Blog FOR UPDATED NEWS AND ENTERTAINMENTS

    Search

    Alhamisi, 17 Novemba 2016

    AJALI:MAAFISA UHAMIAJI NGARA WAPATA AJALI WAKIWA KAZINI ,MMOJA AFARIKI,,,

    Ajali mbaya inayohusisha gari Namba DFP 4341 Mali ya idara ya uhamiaji wilaya ya Ngara, imepinduka na kusababisha kifo cha Afisa mmoja Mkaguzi msaidizi wa Uhamiaji (Assistant Inspector) aliyefahamika kwa jina moja la Michael na wengine wanne (04) kujeruhiwa.

    Maafisa  hao ambao walikuwa kwenye kazi ngumu ya kupambana na wahamiaji haramu katika wilaya hiyo kwa kufanya doria kuzunguka maeneo yote,wamekubwa na balaa hilo ambapo mtoa Taarifa wetu alisema inawezekana hali ya hewa ilichangia kwa sababu kulikuwa na hali ya mvua kiasi.

    Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi,,,AMEN,,

    Picha za tukio angalia hapa chini,,,




    Picha zikionyesha maziko ya Afisa Michael √√√√√







    Hakuna maoni:

    Chapisha Maoni

    Search

    Chapisho Lililoangaziwa

    NEW HIT:OMMY DIMPOZ FT ALIKIBA-KAJIANDAE

    Toa Maoni yako

    Jina

    Barua pepe *

    Ujumbe *

    Wanaofuata

    Propellerads