Msanii wa muziki Lady Jaydee (Jide) amefunga ndoa nyungine baada ya kuachana na Gadner G Habash kwa muda sasa ,,,amedhihirisha hayo kwenye mtandao wake Instagram alipoweka picha za honeymoon na mme wake mpya huyo,,,,
Search
Alhamisi, 17 Novemba 2016
Burudani
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni