Tunakupa unachohitaji sasa na baadae

Propellerads
  • WELCOME TO Adonisstunner Blog FOR UPDATED NEWS AND ENTERTAINMENTS

    Search

    Jumapili, 11 Desemba 2016

    TUZO ZA EATV: LIST NZIMA YA WASHINDI ,ALIKIBA ANYAKUA TUZO TATU,,,

    SHEREHE ZA UGAWAJI WA TUZO ZA EATV AWARDS ZILIZOFANYIKA MLIMANI CITY JIJINI DAR -ES -SALAAM ZILIFAANA SANA NA HAWA NDO WASHINDI MBALIMBALI HUKU MSAANII NGULI TOKA TANZANIA ALIKIBA AKIONDOKA NA TUZO TATU....

    WASHINDI.

    MWANAMUZIKI BORA WA KIUME. 

    ALIKIBA- WINNER
    NOMINEES 
    01.ALIKIBA- MSHINDI
    02.MWANA FA.
    03.SHETA.
    04.G-NAKO. 
    05.BENPOL

    MWANAMUZIKI BORA WA KIKE.

    LADY JAYDEE - WINNER
     NOMINEES 
    01.LADY JAYDEE - MSHINDI
    02.VANNESA MDEE
    03.LINAH
    04.LILIAN MBABAZI
    05.RUBY

    MWANAMUZIKI BORA CHIPUKIZI.

    MANFONGO - WINNER
    NOMINEES
    01.MAN FONGO - MSHINDI
    02.FEZA KESSY
    03.BRIGHT
    04.RUKIA JUMBE (RUCKY BEBY)
    05.MAYUNGA

    KUNDI BORA LA MWAKA.

    NAVYKENZO - WINNER

    NOMINEES.
    01.NAVY KENZO - MSHINDI
    02.SAUT SOL
    03.MASHAUZI CLASSIC
    04.TEAM MISTARI
    05.WAKALI WAO.


    VIDEO BORA YA MWAKA.

    AJE - ALIKIBA-WINNER

     

    NOMINEES.
    01.AJE - ALIKIBA - MSHINDI
    02.NAVIO - NJOGEREZA
    03.JOH MAKINI FT AKA - DON'T BOTHER
    04.LADY JAYDEE - NDINDINDI
    05.SHETA - NAMJUA.

    WIMBO BORA WA MWAKA.

    AJE - ALIKIBA - WINNER

     

    NOMINEES.
    01.AJE - ALIKIBA -MSHINDI
    02.KAMATIA CHINI - NAVY KENZO
    03.DON'T BOTHER - JOH MAKINI
    04.NDINDINDI - LADY JAYDEE
    05.MOYO MASHINE - BENPOL

    FILAMU BORA YA MWAKA.

    SAFARI YA GWALU - WINNER
    NOMINEES.
    01.SAFARI YA GWALU. - MSHINDI
    02.NIMEKOSEA WAPI.
    03.MFADHILI WANGU
    04.HII NI LAANA
    05.FACEBOOK PROFILE

    MUIGIZAJI BORA WA KIUME.

    SALIM AHMED (GABO) - WINNER
     NOMINEES.
    01.SALIM AHMED (GABO) - MSHINDI
    02.DAUD MICHAEL (DUMA)
    03.DOTTO HUSSEIN MATOTOLA
    04.MEYA SHABANI HAMIS
    05.SAID MKUKULA

    MUIGIZAJI BORA WA KIKE.

    CHUCHU HANS - WINNER
     NOMINEES
    01.CHUCHU HANS - MSHINDI
    02.FARIDA KAJALA MASANJA
    03.KHADIJA ALLY
    04,RACHAEL BITHULO

    TUZO YA HESHIMA.

    BONY LOVE


    Hakuna maoni:

    Chapisha Maoni

    Search

    Chapisho Lililoangaziwa

    NEW HIT:OMMY DIMPOZ FT ALIKIBA-KAJIANDAE

    Toa Maoni yako

    Jina

    Barua pepe *

    Ujumbe *

    Wanaofuata

    Propellerads