INSTA YACHAFUKA BIRTHDAY YA WEMA,, NI BAADA YA MAMA DIAMOND KUMU "WISH" WAKATI ZARI HAKUMU "WISH"
Adonis
Jumatano, Septemba 28, 2016
Leo mwanadada wema sepetu ametimiza miaka kadhaa,, kitu ambacho kimesababisha insta kuchafuka leo kwa post za kumtakia heri ya kuzaliwa ...